iqna

IQNA

Kazem Seddiqi
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
IQNA-Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema shambulio la makombora la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) dhidi ya kituo kikuu cha ujasusi cha shirika la ujasusi la utawala haramu wa Israel (Mossad) katika eneo la Kurdistan ya Iraq limetoa onyo kali mkabala wa tishio la Wazayuni.
Habari ID: 3478219    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/19

Operesheni ya Kimbunga cha al-Aqsa
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, Harakati ya Kiislamu (Muqawama) ya Kupigania Ukombozi wa Palestina (HAMAS) ilivunja mgongo wa Israel kwa kutegemea imani na ushujaa katika operesheni ya kimbunga ya Al-Aqswa.
Habari ID: 3477938    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/24

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran ameeleza kuwa, wale wanaochoma moto nakala za Qur’ani Tukufu kwa hakika wanajichoma moto wao wenyewe na kusema: Si jambo rahisi kwa kila mtu kujua hakika ya Qur’ani ambayo ni roho na rehema ya Mwenyezi Mungu, na kufanya ukaidi dhidi ya neno la Mungu ni ishara ya roho ya kishetani.
Habari ID: 3477381    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/04

Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran aliyataja mafanikio ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ndio sababu kuu ya vita mseto na mashinikizo ya pande zote ya maadui.
Habari ID: 3477018    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/19

Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amezungumzia misimamo ya Iran dhidi ya madola ya kibeberu na kusema kuwa, wananchi wa Iran wamegeuza vitisho vyote vya mabeberu kuwa fursa.
Habari ID: 3476187    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/02

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema maroketi na makombora kutoka Ukanda wa Gaza yaliwafanya walowezi wa Kizayuni wakimbilie mapangoni mwao kutafuta hifadhi na kulazimika kufanya mapataano na kusitisha mapigano.
Habari ID: 3475611    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/12

Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: Suala la Ghadir ni kadhia ya kipekee katika historia ya mwanaadamu, na Mwenyezi Mungu hajalipa tukio lolote lile umuhimu mkubwa kuliko tukio la Ghadir Khum.
Habari ID: 3475506    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/15

Hatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Hatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa Iran ya leo ndiyo nchi yenye nguvu zaidi katika eneo la Magharibi mwa Asia, na iko katika nafasi ambayo hakuna nchi inayothubutu kuishambulia.
Habari ID: 3474659    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/10